Nenda kwa yaliyomo

Amon Ashaba Mwiine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Amon Ashaba Mwiine

Amon Ashaba Mwiine ni mwanaharakati wa jinsia wa Uganda na mhadhiri katika shule ya mafunzo ya wanawake na jinsia, Chuo Kikuu cha Makerere. Pia alisomea Chuo Kikuu cha Stellenbosch, Afrika Kusini ambako alipata PhD yake (Sosholojia).[1][2][3][4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "The ILO Participatory Gender Audit | ITCILO". www.itcilo.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-02-16.
  2. "GREAT - Transform Your Research". GREAT (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-02-16.
  3. "Amon Ashaba Mwiine". CGIAR Gender Platform (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-02-15.
  4. "Amon Ashaba Mwiine – School of Women and Gender Studies" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-02-15.
  5. "Amon Ashaba Mwiine | College of Humanities and Social Sciences - Makerere University". chuss.mak.ac.ug. Iliwekwa mnamo 2023-02-15.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amon Ashaba Mwiine kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.