Nenda kwa yaliyomo

Annette Kundu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Annedy Kwamasi Kundu [1] (anafahamika kama Annette Kundu; alizaliwa 17 Desemba 1996[1]) ni mwanasoka Mkenya ambaye hucheza kama kipa [2] wa timu ya wanawake nchini Kenya.

Kazi za kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Kundu alichezea Kenya katika ngazi ya juu wakati wa Mashindano ya 2019 CECAFA Women's [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "ANNEDY KWAMASI KUNDU". CFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-26. Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
  2. "Harambee Starlets final squad for Zambia Olympics Qualifier named". FKF.
  3. "Harambee Starlets romp into CECAFA final with big win over Burundi". FKF.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Annette Kundu kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.