Nenda kwa yaliyomo

Antônia Melo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Antônia Melo (2017)

Antônia Melo da Silva (alizaliwa 1949) ni mwanaharakati wa haki za binadamuna mwanamazingira wa Brazil. Mnamo mwaka 2017, alipokea tuzo na Alexander Soros Foundation kwa Wanaharakati wa mazingira na haki za binadamu kwa kuongoza kampeni dhidi ya ujenzi wa Bwawa la Belo Monte na miradi mingine hatari kwa mazingira katika msitu wa Amazon. [1] [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Antonia Melo recognised for her tireless work fighting Brazil deforestation". Global Witnesss. 11 Oktoba 2017. Iliwekwa mnamo 16 Mei 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Antônia Melo Wins Alexander Soros Foundation Award for 2017". International Rivers. 10 Oktoba 2017. Iliwekwa mnamo 16 Mei 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antônia Melo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.