Nenda kwa yaliyomo

Bonaya Godana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bonaya Adhi Godana (alizaliwa Dukana, Kenya, Septemba 2, 1952 - Marsabit, Kenya, Aprili 10, 2006) alikuwa waziri wa mambo ya nje wa Kenya kuanzia januari 1998 hadi 2001.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Muiruri, Maina (11 Aprili 2006). "Godana survived crash 10 years ago". The Standard. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Aprili 2006. Iliwekwa mnamo 6 Mei 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)