Nenda kwa yaliyomo

Catherine Omanyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Omanyo akizungumza na wapiga kura katika kaunti ya Busia, 2022

Catherine Nakhabi Omanyo (7 Julai 1978) ni mwanasiasa wa Kenya, mwanaharakati wa elimu, na mwakilishi wa wanawake wa kaunti ya Busia katika bunge la Kitaifa la Kenya.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "300 needy students benefit from bursary".
  2. "Inspiration". International School for Champions (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-18. Iliwekwa mnamo 18 Desemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)