Nenda kwa yaliyomo

Cecil David Mwambe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cecil David Mwambe ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Ndanda kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017