Nenda kwa yaliyomo

Charles Muhangwa Kitwanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Charles Muhangwa Kitwanga ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Misungwi kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017