Nenda kwa yaliyomo

Charlotte Hill O'Neal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Charlotte Hill O'Neal (alizaliwa 9 Machi 1951[1]) ni mmoja wa wakurugenzi wa kituo cha United African Alliance Community Center (UAACC).[2] UAACC, ni asasi isiyolenga faida iliyoanzishwa mwaka 1991 na Charlotte pamoja na mume wake Pete O'Neal kwa malengo ya kuwawezesha Waafrika hasa wanaoishi katika maeneo ya vijijini nchini Tanzania.[3] Charlotte ana watoto wawili ambao ni Malcom na AnnWood.

O'Neal ni mmoja wa waasisi wa kundi la washairi la mkoani Arusha lijulikanalo kama Arusha Poetry Club.

Maisha ya awali na elimu[hariri | hariri chanzo]

O'Neal anatokea katika jiji la Kansas nchini Marekani,[4] ambako alianzia kuwa mwanachama wa harakati za chama cha Black Panther Party mnamo mwaka 1969.[5] na kuolewa na kiongozi wa chama hicho Pete O'Neal.[6]

Harakati[hariri | hariri chanzo]

Akiwa na umri wa miaka 17 alianza harakati katika shule za msingi na shule za upili ambako alikuwa akizunguka kuzungumzia historia ya mtu mweusi.

Kazi nginyine[hariri | hariri chanzo]

O'Neal amechapisha vitabu viwili vya mashairi,kitabu chake cha kwanza kilitoka mwaka 2008 na kilikuwa kinaitwa Warrior Woman of Peace [7] na kitabu cha pili kinaitwa Life Slice...a Taste of Magica kilichotoka mnamo mwaka 2016.[8] Charlotte anafahamika zaidi kwa jina la Mama C.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Those Left Behind" (PDF). jpanafrican.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2021-01-22. Iliwekwa mnamo 9 Mei 2019. She was born March 9th in Kansas City, Kansas in 1951 {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Liberation, imagination, and the Black Panther Party : a new look at the Panthers and their legacy. Cleaver, Kathleen., Katsiaficas, George N., 1949-. New York: Routledge. 2001. ISBN 0415927838. OCLC 44573264.{{cite book}}: CS1 maint: others (link)
  3. Gott, Patricia (2010). Volunteer to Empower. Norway, ME: PRGott Books. uk. 30. ISBN 978-0984589821.
  4. Kate., Coyer (2007). The alternative media handbook. Dowmunt, Tony., Fountain, Alan. London: Routledge. ISBN 9780415359658. OCLC 154677587.
  5. Ulrich, Ryan (Spring 2005). "Once a Panther, Always a Panther". MALS Quarterly: 23–24.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Kambon, Malaika (Aprili 5, 2013). "Charlotte Hill O'Neal – Mama C: Urban African spirit visits Laney, CSU Eastbay". sfbayview.com. Iliwekwa mnamo 9 Mei 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. O'Neal, Charlotte Hill (2008). Warrior Woman of Peace. Arusha, Tanzania: Independent Publisher.
  8. Davis, Chanelle (2016). Life Slices...a Taste of Magic. Arusha, Tanzania: Independent Publisher. ISBN 9781532317323.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charlotte Hill O'Neal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.