Nenda kwa yaliyomo

Consolata Kabonesa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Consolata Kabonesa

Consolata Kabonesa ni mwanaharakati wa jinsia wa Uganda aliye na uwezo maalumu katika uandaaji wa programu za wanawake na jinsia, mafunzo ya jinsia, mradi na utafiti ndani ya mfumo wa ugatuzi. Kabonesa pia ni profesa katika shule ya mafunzo ya wanawake na jinsia, Chuo Kikuu cha Makerere.[1] [2][3][4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Dr. Consolata Kabonesa". www.waterspoutt.eu. Iliwekwa mnamo 2022-03-04.
  2. "Browsing School of Women and Gender Studies (SWGS) by Author "Kabonesa, Consolata"". makir.mak.ac.ug. Iliwekwa mnamo 2022-03-04.
  3. "School of Women and Gender Studies gets new Dean | News@CHUSS". chuss.mak.ac.ug. Iliwekwa mnamo 2022-03-04.
  4. Kabonesa, Consolata. "Profile". ResearchGate.
  5. "Consolata Kabonesa | The Council for Frontiers of Knowledge". www.thecfkglobal.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-04.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Consolata Kabonesa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.