Nenda kwa yaliyomo

Dennis Hennig

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dennis Hennig (28 Februari 1951- 17 Januari 1993) alikuwa mpiga piano wa Australia.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Katika miaka yake ya awali alikuwa mmoja wa wanachama katika kikundi cha The Australian Ballet alipokuwa akifanya mazoezi ya kupiga piano. Baadaye alianza kushiriki katika matamasha ya muziki wa laivu kama ya Signatures, An Evening, Seven Deadly Sins pamoja na Nearly Beloved.[1] pia amefundisha katika shule ya muziki ya Sydney Conservatorium of Music.[2]

Kifo[hariri | hariri chanzo]

Dennis Hennig alifariki kwa virusi vya Ukimwi [3] akiwa na umri wa miaka 41 mwaka 1993. Nishani yake ya heshima ilitolewa katika mashindano ya Sydney International Piano Competition.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "QPAC: Grand" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2009-09-12. Iliwekwa mnamo 2009-04-01. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  2. "Macarthur Singers: Kelvin Russell". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-27. Iliwekwa mnamo 2009-04-01. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  3. Music Web International
  4. "SIPCA 2008". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-11-21. Iliwekwa mnamo 2009-04-01. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dennis Hennig kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.