Nenda kwa yaliyomo

Deo Kasenyenda Sanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Deo Kasenyenda Sanga ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Makambako kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017