Nenda kwa yaliyomo

Dick Pound

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Richard William Duncan Pound (maarufu zaidi kwa jina la Dick Pound, alizaliwa 22 Machi 1942) ni msemaji wa nchi ya Kanada. Pia ni mwanaharakati, na msemaji wa maadili kwenye michezo. Alikuwa Rais wa kwanza wa Shirika la Kupambana na Dawa za Kulevya Duniani na makamu wa Raisi wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki. Kwa sasa ndiye mwanachama aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi katika IOC.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "IOC Members List". International Olympic Committee (kwa Kiingereza). Agosti 8, 2021. Iliwekwa mnamo Agosti 9, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Beijing Boycott | Munk Debates". munkdebates.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo Agosti 9, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dick Pound kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.