Nenda kwa yaliyomo

Dj Fantan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dj Fantan, (Arnold Kamudyariwa) ni mtayarishaji wa muziki, DJ na mwimbaji wa Zimdancehall nchini Zimbabwe. [1] [2]

Maisha ya awali na elimu[hariri | hariri chanzo]

Dj Fantan alizaliwa huko Mbare, Harare. Alisoma elimu yake ya awali katika Shule ya Msingi ya Gwinyai kisha elimu ya upili katika Shule ya upili ya George Stark ambapo alikutana na mshirika wake wa kibiashara Levels Chillspot .

Mnamo 2011, Fantan aligeuza chumba chake cha kulala kuwa studio ya kurekodi, na kuanzisha Chillspot Recordz na Levels. [3] Wawili hao waliendelea kuvumbua vipaji kutoka sehemu mbalimbali nchini Zimbabwe kupitia kutengeneza ridhaa ambazo zilieneza aina ya Zimdancehall hivyo kukua kwake. [4] [5] [6] Mnamo 2013, uzalishaji wake na Levels (Zimbo Flavour Riddim) uliendelea kushinda Riddim ya mwaka. Mnamo 2014, walishinda Conscious Riddim ya mwaka ( Pure Niceness ) na Collaboration bora ya Riddim ( Mad Levels ) kisha Riddim ya mwaka 2015 ( Stage Riddim ) kwenye tuzo za Zimdancehall. [7] [8] [9]

Mnamo 3 Januari 2021, DJ Fantan na wenzake walikamatwa kwa kukiuka kanuni za COVID-19/Uviko-19 [10] baada ya kuandaa tafrija ya mkesha wa Mwaka Mpya iliyovutia maelfu ya watu. [11] [12] Kifungo chao cha awali cha miezi 12 jela kilipunguzwa hadi miezi mitatu huku kukiwa na chaguo la kulipa faini ya dolar $2 000 kila mmoja, jambo ambalo walifanya kwa masharti ya tabia njema kuanzia wakati huo hadi 2025. [13][14]

Orodha ya kazi alizotayarisha[hariri | hariri chanzo]

  • Madlevel Riddim 2013
  • Mixtape ya Zimdancehall 2013
  • Dj Fantan Zimdancehall Mixtape 2014
  • Zim Lovers Mixtape 2014
  • Mixtape ya Zimdancehall 2014

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mail, The Sunday. "Meet DJ Fantan, Chillspot's hype man". The Sunday Mail.
  2. "I am not a drug peddler says DJ Fantan |". Machi 23, 2021. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-01-27. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Zimdancehall dreams: the back yard studios helping Harare get heard". the Guardian. Mei 3, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. TV, Nakiso. "DJ Fantan, the Face of Ghetto Youths!".
  5. chekai, Lemuel (Machi 27, 2019). "Chillspot Introduced Zimdancehall Not Winky D: DJ Fantan". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-01-27. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "I was wrongly interpreted: DJ Fantan". H-Metro.
  7. "Zimdancehall Awards 2014 Winners". Pindula. Aprili 5, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. "Zimdancehall Awards 2015 Winners". Pindula. Aprili 5, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. "Chillspot drops double riddims". Machi 14, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. Mupoperi, Elsie (Januari 21, 2021). "DJ Fantan, Levels & Dhama granted bail". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-01-27. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. Herald, The. "DJ Fantan, two others jailed six months". The Herald.
  12. "Music Promoter DJ Fantan Pleads Guilty Over New Year Eve Gig". Januari 5, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  13. Herald, The. "DJ Fantan, gig organiser escape jail". The Herald.
  14. FantanFantan, Levels walking out of the magistrate's court in January 2020Background informationBirth nameArnold KamudyariwaBornMarch 17, 1987GenresZimdancehallOccupationMusic ProducerYears active2011-presentLabelsChill Spot RecordsAssociated actsTipsy, Soul Jah Love, Freeman (2022-11-28). "DJ Fantan Biography, Zimdancehall, COVID-19 Imprisonment". Pindula (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-02-26.{{cite web}}: CS1 maint: multiple names: authors list (link) CS1 maint: numeric names: authors list (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dj Fantan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.