Nenda kwa yaliyomo

Donald Sutherland

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Donald Sutherland
Sutherland in 2013
AmezaliwaDonald McNichol Sutherland
(1935-07-17)17 Julai 1935
Amekufa20 Juni 2024 (umri 88)
Miami, Florida, U.S.
Kazi yakeMwigizaji
Miaka ya kazi1963–2023
Kazi maarufuFilmografia
Ndoa
  • Lois May Hardwick (m. 1959–1966) «start: (1959)–end+1: (1967)»"Marriage: Lois May Hardwick to Donald Sutherland" Location: (linkback://sw.chped.com/wiki/Donald_Sutherland)
  • Shirley Douglas (m. 1966–1970) «start: (1966)–end+1: (1971)»"Marriage: Shirley Douglas to Donald Sutherland" Location: (linkback://sw.chped.com/wiki/Donald_Sutherland)
  • Francine Racette (m. 1972–present) «start: (1972)»"Marriage: Francine Racette to Donald Sutherland" Location: (linkback://sw.chped.com/wiki/Donald_Sutherland)
Watoto5, akiwemo Kiefer, Rossif, na Angus
NduguSarah Sutherland (mjukuu wa kike)
TuzoOrodha kamili

Donald McNichol Sutherland (17 Julai 1935 – 20 Juni 2024) alikuwa mwigizaji wa Kanada. Ikiwa kama kazi yake iliyodumu kwa miongo sita,[1] Sutherland alipokea , ikiwa ni pamoja na Primetime Emmy Award na Golden Globe Awards mbili pamoja na teuzi za BAFTA Award. Anachukuliwa kuwa mmoja wa waigizaji bora ambao hawajawahi kuteuliwa katika Tuzo ya Academy. Mwaka wa 2017 alipatiwa Tuzo ya Heshima ya Academy katika maadhimisho ya ugawaji wa mara ya 90 wa tuzo hizo.

Sutherland alijipatia umaarufu baada ya kuigiza katika filamu za vita The Dirty Dozen (1967), M*A*S*H (1970), na Kelly's Heroes (1970). Baadaye aliigiza katika filamu nyingi akiwa katika nafasi za kuongoza na kusaidia. Nafasi hizo ni pamoja na Klute (1971), Don't Look Now (1973), 1900 (1976), Animal House (1978), Invasion of the Body Snatchers (1978), Ordinary People (1980), A Dry White Season (1989), JFK (1991), Six Degrees of Separation (1993), Without Limits (1998), na Pride & Prejudice (2005). Sutherland pia alicheza kama President Snow katika mfululizo wa filamu za The Hunger Games (2012–2015).

Kwenye upande wa televisheni, uigizaji wake katika filamu za HBO Citizen X (1995) ulimletea mikononi mwake Tuzo ya Primetime Emmy kwa uchezaji bora katika kipengele cha mfululizo au filamu. Kwa kuigiza kama Clark Clifford katika filamu ya HBO Path to War (2002) alipata Tuzo ya Golden Globe akiwa kama mwigizaji msaidizi kwa kipindi cha televisheni. Pia alicheza katika Uprising (2001), Human Trafficking (2005), Trust (2018), na The Undoing (2020).

Sutherland alitunukiwa Ngao ya Ofisa wa Kanda, yaani, Officer of the Order of Canada (kifupi OC) mwaka 1978 na aliingizwa katika Canadian Walk of Fame mwaka 2000 na Hollywood Walk of Fame mwaka 2011. Yeye ni baba wa Kiefer, Rossif, na Angus Sutherland, wote wakiwa waigizaji.

Filamu zalicheza[hariri | hariri chanzo]

  • Castle of the Living Dead (1964)
  • Dr. Terror's House of Horrors (1965)
  • Die! Die! My Darling! (1965)
  • The Bedford Incident (1965)
  • Promise Her Anything (1966)
  • The Dirty Dozen (1967)
  • The Sunshine Patriot (1968)
  • The Split (1968)
  • Interlude (1968)
  • Start the Revolution Without Me (1970)
  • M*A*S*H (1970)
  • Kelly's Heroes (1970)
  • Alex in Wonderland (1970)
  • Act of the Heart (1970)
  • Little Murders (1971)
  • Klute (1971)
  • Johnny Got His Gun (1971)
  • F.T.A. (1972)
  • Steelyard Blues (1973)
  • Lady Ice (1973)
  • Don't Look Now (1973)
  • Alien Thunder (1973)
  • S*P*Y*S (1974)
  • The Day of the Locust (1975)
  • End of the Game (1976)
  • The Eagle Has Landed (1976)
  • Il Casanova di Federico Fellini (1976)
  • 1900 (1976)
  • Blood Relatives (1977)
  • The Kentucky Fried Movie (1977)
  • The Disappearance (1977)
  • Bethune (1977)
  • National Lampoon's Animal House (1978)
  • Invasion of the Body Snatchers (1978)
  • Murder by Decree (1979)
  • A Man, a Woman and a Bank (1979)
  • The Great Train Robbery (1979)
  • Bear Island (1979)
  • Ordinary People (1980)
  • Nothing Personal (1980)
  • Threshold (1981)
  • Gas (1981)
  • Eye of the Needle (1981)
  • The Winter of Our Discontent (1983)
  • Max Dugan Returns (1983)
  • Ordeal by Innocence (1984)
  • Crackers (1984)
  • Revolution (1985)
  • Heaven Help Us (1985)
  • The Wolf at the Door (1986)
  • The Trouble with Spies (1987)
  • The Rosary Murders (1987)
  • Apprentice to Murder (1988)
  • Lost Angels (1989)
  • Lock Up (1989)
  • A Dry White Season (1989)
  • Buster's Bedroom (1990)
  • Bethune: The Making of a Hero (1990)
  • Scream of Stone (1991)
  • Long Road Home (1991)
  • JFK (1991)
  • Eminent Domain (1991)
  • Backdraft (1991)
  • The Railway Station Man (1992)
  • Quicksand: No Escape (1992)
  • Buffy the Vampire Slayer (1992)
  • Younger and Younger (1993)
  • Six Degrees of Separation (1993)
  • Shadow of the Wolf (1993)
  • Benefit of the Doubt (1993)
  • The Puppet Masters (1994)
  • Punch (1994)
  • Oldest Living Confederate Widow Tells All (1994)
  • The Lifeforce Experiment (1994)
  • Disclosure (1994)
  • The Shadow Conspiracy (1995)
  • Outbreak (1995)
  • Hollow Point (1995)
  • Citizen X (1995)
  • A Time to Kill (1996)
  • The Assignment (1997)
  • Shadow Conspiracy (1997)
  • Free Money (1998)
  • Fallen (1998)
  • Without Limits (1998)
  • Behind the Mask (1999)
  • Virus (1999)
  • Instinct (1999)
  • The Hunley (1999)
  • Toscano (1999)
  • The Setting Sun (1999)
  • Panic (2000)
  • Space Cowboys (2000)
  • The Art of War (2000)
  • Threads of Hope (voice) (2000)
  • Final Fantasy: The Spirits Within (voice) (2001)
  • Uprising (TV) (2001)
  • Da wan (2001)
  • Queen Victoria's Empire (TV) (voice) (2001)
  • Path to War (TV) (2002)
  • The Italian Job (2003)
  • Piazza delle cinque lune (2003)
  • Baltic Storm (2003)
  • Cold Mountain (2003)
  • Salem's Lot (TV) (2004)
  • Frankenstein (TV) (2004)
  • Aurora Borealis (2004)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Donald Sutherland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Pulver, Andrew. "Donald Sutherland, Don't Look Now and Hunger Games actor, dies aged 88", The Guardian, 20 June 2024. (en-GB)