Nenda kwa yaliyomo

Dua William Nkurua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dua William Nkurua ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Nanyumbu kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017