Nenda kwa yaliyomo

Eddy Bee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eddy Besong, anafahimika kwa jina la Eddy Bee akiwa jukwaani, ni mwanamuziki wa Afrobeat na RNB' wa Kameruni.[1] Amekuwa kwenye muziki tokea mwaka 2009, akiachia kandamseto mwaka 2020 kama sehemu ya kikundi cha Avinu C akiwa na Naomi Achu na H Bolo. Eddy Bee aliachia albamu yake ya kwanza iitwayo The Eddy Bee Show Novemba 2018.


Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "237showbiz.com".
  2. "youtube".
  3. "cdbaby.com".
  4. "youtube".
  5. "auletch.com".
  6. "youtube".
  7. "bamendaonline.net". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-07-08. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.
  8. "africanmuzikmag.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-01-25. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.
  9. "dailymotion.com".