Nenda kwa yaliyomo

Freya Anderson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Freya Anderson (alizaliwa 4 Machi 2001) ni mwogeleaji mwenye asili ya Uingereza. Anajulikana kwa mafanikio ya kuchukua medali saba za dhahabu na medali tatu za shaba katika michuano ya Ulaya iliyojumuisha michezo ya staili mbalimbali ya kuogelea iliyofahamika kwa jina la spinter (Kiingereza)[1] medali 5 za dhahabu pamoja na shaba alizipata katika michuano ya Ulaya ya mwaka 2020 huko Budapest[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Freya Anderson". British Swimming. Iliwekwa mnamo 2021-12-07.
  2. "European Championships 2020 – LEN.eu | Ligue Européenne de Natation" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-07. Iliwekwa mnamo 2021-12-07.