Nenda kwa yaliyomo

Gynaecopolis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gynaecopolis (Jiji la Wanawake) ni jiji la kale huko Misri ya Chini. Gynaecopolis Ilijulikana katika Misri ya Kale kama Per Nebet Imau.[1] Ulikuwa mji mkuu wa jina la Gynaecopolite nome iliyotajwa na strabo,[2] na sarafu zilizokua zikifutia wakati wa Hadrian bado zilikuepo.[3] Kuna wakati ilifikiriwa kuwa kama mji wa Anthylla .[4] Inaezekana ilikuwa katika eneo la Kom el-Hisn.[5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://cueflash.com/decks/98939/Shire_08_Nomes_Lower_Egypt
  2. https://penelope.uchicago.edu/Thayer/E/Gazetteer/Places/Africa/Egypt/_Texts/BEVHOP/5B*.html
  3. https://www.perseus.tufts.edu/hopper/text?doc=Perseus%3Atext%3A1999.04.0064%3Aentry%3Dgynaecopolis-geo
  4. https://www.perseus.tufts.edu/hopper/text?doc=Perseus:text:1999.04.0064:entry=anthylla-geo
  5. https://cueflash.com/decks/98939/Shire_08_Nomes_Lower_Egypt