Nenda kwa yaliyomo

Harriet Anena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Harriet Anena
Amezaliwa Harriet Anena
Wilaya ya Gulu
Kazi yake mwandishi

[Picha:Harriet_Anena.jpg|thumbnail|right|200px|Herriet Anena]]

Harriet Anena

Harriet Anena ni raia wa Uganda mwandishi wa mashairi na hadithi mbalimbali. Ni mwandishi wa mashairi ya A Nation In Labour, yaliyochapishwa mnamo mwaka 2015[1].

Elimu na Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Anena alizaliwa na Waacholi na alilelewa huko Wilaya ya Gulu, Uganda.[2] Alihitimu shahada ya mawasiliano katika Chuo Kikuu cha Makerere, mnamo mwaka 2010 na alimaliza Shahada ya uzamili ya sanaa katika haki za binadamu kutoka taasisi hiyo mnamo mwaka 2018.[3]

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Book Review: A Nation In Labour - Three voices, one book". somanystories.ug. Machi 2015. Iliwekwa mnamo 17 Machi 2015. {{cite web}}: Cite uses deprecated parameter |authors= (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "'For Me, Life Is Political.' An Interview With Harriet Anena". Short Story Day Africa. 30 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 2 Oktoba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Joseph Ssemutooke (7 Februari 2015). "The making of a budding poet". Daily Monitor. Iliwekwa mnamo 17 Machi 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Harriet Anena kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.