Nenda kwa yaliyomo

IBali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ataindum Donald Nge (amezaliwa Septemba 2, 1997) ni mwanamuziki wa Kameruni na mtumbuizaji anayefahimika kwa jina la Ibali akiwa jukwaani. Pia ni mwanaharakati wa haki za binadamu. [1]

Maisha ya awali na kazi[hariri | hariri chanzo]

Ibali alizaliwa Bamenda, Kameruni. Ibali anandugu 3 na yeye ndiye mzaliwa wa kwanza katika familia yao. Alianza kurekodi muziki mwaka 2014 kwa jina la Dolly Pearl.[2]

Ibali alitoa nyimbo mbalimbali akiwashirikisha wasanii kama vile Richard Kings, Magasco, Blaise B, na Daddy Black.[3][4] Januari 2021, Ibali alizindua video yake mpya iitwayo Revelation chini ya albamu yake ya Prophetic.[5]

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

  • Prophetic (2021)

Nyimbo[hariri | hariri chanzo]

  • Legendary
  • One People
  • Revelation

Zilizoshirikishwa[hariri | hariri chanzo]

  • Dolly Pearl ft Blaise B
  • Dolly Pearl Cado ft Daddy Black

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Elf, An (22 Julai 2020). "The Birth of a Pan-African Prophet; Ibali The Spiritual Artist". Critiqsite. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-29. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Dolly Pearl Rebrands himself | Welcome To Lady-T's World". Ladyt237. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-29. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.
  3. "Uprising Dolly Pearl Speaks Up". Bamenda Online. 1 Julai 2018. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-25. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Kange, Victor. "Afro-Spiritual Artiste IBALI Crowned "Messiah Of Cameroonian Music" By DJs". Cameroon's #1 Music and Entertainment Portal.
  5. "Artist IBALI Drops His Empowering New Single "Revelation"". Wonderland. 2 Februari 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu IBali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.