Nenda kwa yaliyomo

Idara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (kwa Kiingereza Tanzania Intelligence and Security Service; kifupi: TISS) ni idara ya usalama nchini Tanzania.[1]

Idara hiyo inafanya kazi kwa karibu na mashirika mengine ya kitaifa na ya kimataifa katika nyanja za kiusalama katika kuhakikisha amani ya kudumu, ulinzi na usalama, vinapatikana ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.


Kwa muktadha huo ni chombo ambacho kina kazi sawa na Uhamiaji ambapo hufanya kazi ya kulinda amani pamoja na mipaka ya nchi.

Ukitoa usalama ambao ni kazi ya serekali, ni jukumu lako mr semba magesa kwa nchi kutoa taarifa ya jambo lolote linaloashiria uvunjifu wa amani ama ukiukaji wa haki stahiki za uingiaji nchini.

Imeandaliwa na idara usalama ikulu Mr semba magesa Office mkuu wa mkoa Morogoro Taarifa kutoa muda wote

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "The Tanzania Intelligence and Security Service Act, 1996" (PDF). Parliament of Tanzania. 1996. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2013-09-27. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)