Nenda kwa yaliyomo

Jean-Clair Todibo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Todibo akiwa katika timu yake ya taifa.

Jean-Clair Dimitri Roger Todibo (amezaliwa 30 Desemba 1999 [1]) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama beki wa kati au kiungo mkabaji wa Klabu ya FC Barcelona.

Todibo alianza kazi yake na klabu ya Toulouse mwaka 2016, kutoka FC Les Lilas [2]. Alicheza mechi yake ya kwanza ya Ligue 1 mnamo 19 Agosti 2018 dhidi ya wapinzani wa Garonne Bordeaux, akicheza dakika 89 na kuibuka na ushindi wa 2-1 nyumbani.

Mnamo tarehe 8 Januari 2019, Todibo aliingia makubaliano na FC Barcelona wakati mkataba wake na Toulouse ulipokuwa umeisha. Alipewa jezi namba 6 mgongoni.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Jean-Clair Todibo". FC Barcelona. Iliwekwa mnamo 27 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "À la découverte de Jean-Clair Todibo" [On the discovery of Jean-Clair Todibo] (kwa Kifaransa). Les Violets. 7 Julai 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 Mei 2019. Iliwekwa mnamo 19 Agosti 2018. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jean-Clair Todibo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.