Nenda kwa yaliyomo

Jimmy Spire Ssentongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dr. Jimmy Spire Sssentogo

Jimmy Spire Ssentongo (alizaliwa 14 Agosti 1979) ni profesa, mwandishi, mchoraji picha, mtetezi wa haki za binadamu na mchora katuni za wahariri wa Uganda. Ssentongo ni profesa mshiriki wa masomo ya maadili na utambulisho katika chuo kikuu cha Martyrs Uganda (UMU).[1] Pia anafundisha maadili na mbinu za utafiti katika Chuo Kikuu cha Makerere. [2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kakembo, Muhammad (2023-05-31). "Dr Spire: Threats to my life are serious but I won't quit". The Observer – Uganda (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2023-11-23.
  2. "» Learn More about Jimmy Spire Ssentongo Africa Cartoons" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-11-23.
  3. "SPIRE – Cartooning for Peace" (kwa Kifaransa). 2023-10-17. Iliwekwa mnamo 2023-11-23.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimmy Spire Ssentongo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.