Nenda kwa yaliyomo

Joseph Wamukoya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dkt. Joseph Pius O Wamukoya (22 Agosti 1942 - 3 Mei 2021) alikuwa mwanasiasa wa Kenya, ambaye hadi desemba 2002 alikuwa waziri msaidizi katika serikali ya Kenya African National Union (KANU) ya Daniel arap Moi. Moi alimteua kuwa waziri msaidizi katika wizara ya ardhi na makazi mnamo Juni 2001. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "NDP MPs appointed to the Government". Nairobi and Science and Engineering Research Center. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 12 Machi 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)