Nenda kwa yaliyomo

Katie Zelem

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Zelem akiwa na Manchester United mnamo 2023

Katie Leigh Zelem (alizaliwa 20 Januari 1996)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza,ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya Manchester United F.C. inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Uingereza.[2] Zelem aliwahi kuichezea Liverpool ambapo alishinda mara mbili WSL mwaka 2013 na 2014, pamoja na Juventus ya Italia[3], akishinda Serie A msimu wa 2017-2018 akiwa na klabu hiyo. Zelem kisha alijiunga na United kushinda ubingwa wa Wanawake katika msimu wake wa kwanza wa 2018-2019.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2019-07-08. Iliwekwa mnamo 2024-04-29. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  2. The Football Association. "England woen's legacy and results archive". https://www.englandfootball.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-29. {{cite web}}: External link in |work= (help)
  3. "Women: la Juve vince e va al terzo turno di Coppa Italia - Juventus.com". web.archive.org. 2017-12-14. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-14. Iliwekwa mnamo 2024-04-29. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |dead-url= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katie Zelem kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.