Nenda kwa yaliyomo

Katja Koroleva

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Katja Koroleva mnamo 2021

Ekaterina "Katja" Koroleva (alizaliwa Machi 20, 1987) ni mwamuzi wa mpira wa miguu wa kimataifa wa nchini Marekani . [1] [2]

Mnamo Agosti 2016, Koroleva aliteuliwa kuwa mwamuzi katika Kombe la Dunia la FIFA la chini ya miaka 17 mwaka 2016 huko Jordan . [3]

Mnamo Agosti 2018, Koroleva aliteuliwa kuwa mwamuzi katika Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake chini ya miaka 17 mwaka 2018 nchini Uruguay . [4]

Koroleva aliteuliwa kuwa mwamuzi katika Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake mwaka 2019 nchini Ufaransa. [5] [6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Estados Unidos - K. Koroleva - Perfil con noticias, estadísticas de carrera e historia - Women Soccerway". es.women.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2019-07-02.
  2. "Ekaterina (Katja) Koroleva – Professional Referee Organization" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2019-07-02.
  3. FIFA.com. "FIFA U-17 Women's World Cup 2016 - News - Referees and assistant referees appointed for the FIFA U-17 Women's World Cup Jordan 2016 - FIFA.com". www.fifa.com (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Julai 4, 2019. Iliwekwa mnamo 2019-07-04.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. FIFA.com. "FIFA U-17 Women's World Cup 2018 - News - Referees and assistant referees appointed for Uruguay 2018 - FIFA.com". www.fifa.com (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Septemba 19, 2018. Iliwekwa mnamo 2019-07-04.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. FIFA.com. "FIFA Frauen-WM 2019™ - Nachrichten - Aufgebot der Spieloffiziellen für die FIFA Frauen-WM 2019™ - FIFA.com". www.fifa.com (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 2019-07-02.
  6. FIFA.com
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katja Koroleva kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.