Kialta-Kaskazini
Mandhari
![](http://chped.net/https/upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/91/Northern_Alta_language_map.png/220px-Northern_Alta_language_map.png)
Kialta-Kaskazini ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waalta. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kialta-Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 200 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kialta-Kaskazini iko katika kundi la Kifilipino.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- lugha ya Kialta-Kaskazini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kialta-Kaskazini Archived 9 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kialta-Kaskazini kwenye Ethnologue
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kialta-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |