Kipazasauti cha sikio
Mandhari
![](http://chped.net/https/upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/b3/Headphones-Sennheiser-HD555.jpg/280px-Headphones-Sennheiser-HD555.jpg)
Kipazasauti cha sikio au spika ya sikio (kwa Kiingereza: headphones) ni kifaa kinachotumika kwa kutoa sauti masikioni.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Katikiro, E. G. (2018). Tathmini ya maana katika maneno ambatani ya Kiswahili. Mulika Journal, 36(1)