Nenda kwa yaliyomo

Lawrence Lessig

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahojiano na Lawrence Lessig mnamo 2009

Lester Lawrence Lessig III (amezaliwa Juni 3, 1961) ni msomi wa sheria na mwanaharakati wa kisiasa kutoka Marekani. Yeye ni Profesa wa Sheria wa Roy L. Furman katika Shule ya Sheria ya Harvard na mkurugenzi wa zamani wa Kituo cha Maadili cha Edmond J. Safra katika Chuo Kikuu cha Harvard.[1] Yeye ni mwanzilishi wa Creative Commons na Equal Citizens. Lessig alikuwa mgombea wa uteuzi wa Chama cha Kidemokrasia kwa urais wa Marekani katika uchaguzi wa rais wa Marekani wa mwaka 2016 lakini alijiondoa kabla ya mchujo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Harvard Law School Faculty Lawrence Lessig". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Septemba 6, 2015. Iliwekwa mnamo Septemba 7, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Jua habari zaidi kuhusu Lawrence Lessig kwa kutafuta kupitia mradi wa Wikipedia Sister
Uchambuzi wa kamusi kutoka Wikamusi
Vitabu kutoka Wikitabu
Dondoo kutoka Wikidondoa
Matini za vyanzo kutoka Wikichanzo
Picha na media kutoka Commons
Habari kutoka Wikihabari
Vyanzo vya elimu kutoka Wikichuo
Alitanguliwa na
Dennis F. Thompson
Director of the Edmond J. Safra Center for Ethics
at Harvard University

2009–2015
Akafuatiwa na
Danielle Allen
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lawrence Lessig kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.