Nenda kwa yaliyomo

Lisa Weiß

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lisa Weiß

Lisa Weiß (alizaliwa 29 Oktoba 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambae anacheza kama golikipa katika klabu ya wanawake ya VfL Wolfsburg kwenye ligi ya Frauen-Bundesliga nchini Ujerumani na timu ya taifa ya wanawake nchini Ujerumani. [1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Lisa Weiß signs for Villa Women". www.avfc.co.uk (kwa Kiingereza).
  2. "Steckbrief Lisa Weiß" (kwa German). sgs-frauenfussball.de. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lisa Weiß kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.