Nenda kwa yaliyomo

Margo Jefferson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Margo Jefferson

Nchi Marekani
Kazi yake mwandishi


Margo Lillian Jefferson (alizaliwa Oktoba 17, 1947)[1] ni mwandishi na mtaaluma wa Marekani.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Jefferson alipata B.A. kutoka Chuo Kikuu cha Brandeis, ambapo alihitimu cum laude , na Shahada ya uzamili ya Mwalimu wa Sayansi kutoka Chuo Kikuu cha Columbia cha Uandishi wa habari. Alifanya kazi na gazeti la Newsweek "mnamo mwaka 1973 na alikaa kwenye jarida hilo hadi 1978.Pia aliwahi kuwa profesa msaidizi katika Idara ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano katika Chuo Kikuu cha New York kutoka mwaka 1979 hadi 1983 na kutoka 1989 hadi mwaka 1991. Tangu wakati huo amefundisha katika Chuo Kikuu cha Chuo Kikuu cha Columbia, ambapo sasa ni profesa wa mazoezi ya uandishi kwa maandishi. Jefferson pia alifundisha katika Chuo cha Sanaa huria cha Eugene Lang. [2]Alijiunga na "New York Times" mnamo 1993 kama mwandishi wa vitabu. reviewer,[3]Pia alishinda tuza ya "Pulitzer Prize for Criticism" Mwaka 1995.[4][5] She also served as the newspaper's theater critic in 2004.[6] In addition to the Aliandika vitabu kama Vogue (magazine), New York Magazine, The Nation, and Guernica (magazine).Jefferson anavutiwa na mziki wa jazii Zaidi, na alionekana katika (Ken Burns) 's (Jazz (miniseries) safu ya waraka ya 2001] kuhusu historia ya muziki.[7][8]

Uandishi wa vitabu[hariri | hariri chanzo]

Jefferson's 2006 kitabu cha, ” Michael Jackson,[9] was described by Publishers Weekly as a "slim, smart volume of cultural analysis."[10] Kulingana na kitabu cha Lucy Scholes katika The Independent : kilicho eleza wasifu wa Michael Jackson "japo haikuwa wasifu wa moja kwa moja, kutokana na hatia/mashtaka yaliomkabili kuhusu unyanyasaji wa watoto ingawa aliachiliwa huru.Kitabu icho kilieleza zaidii jambo hilo. [11]

Kitabu cha wasifu wa Jefferson, Negroland, kilichapishwa mwaka 2015. Ilielezwa na Dwight Garner (critic)| kwenye jarida la The New York Times kama mwanamke mwenye ushawishi mkubwa na wa kukumbukwa.",[12] pia Margaret Busby alieleza kwenye jarida la The Sunday Times [13] Baadae Anita Sethi aliandika The Observer: "Jefferson fascinatingly” Ambapo alieleza umahiri wake na mwingiliano katika siasa na pia alieleza historia ya tangu kuzaliwa kwake."[14] Tracy K. Smith aliandika katika jarida la The New York Times : "Maudhui yaliyoandikwa kwenye hadithi ya 'Negroland' Vilivyoangazia uwezekano wa mwandishi wake kukithiri mbele ya nyenzo zake."[15] In 2016 Negroland was shotlisted for the Baillie Gifford Prize for Non-Fiction[16][17] and won the National Book Critics Circle Award in the Autobiography category.

Jefferson ni mchangiaji wa antholojia ya 2019 New Daughters of Africa.[18]

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

  • 1995: Pulitzer Prize for Criticism, mshindi wa ukaguzi wa vitabu vyake na uchambuzi mwingine wa kitamaduni katika jarida la The New York Times.'.[4]
  • 2016: National Book Critics Circle Award (Autobiography), mshindi kwa kumbukumbu yake Negroland: A Memoir.[19]
  • 2016: kitabu cha [[Baillie Gifford Prize for Non-Fiction, for Negroland[20]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Margo Jefferson's Biography". The History Makers. Januari 20, 2017. Iliwekwa mnamo 2021-05-05.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. New School for Social Research [https://web.archive.org/web/20060928022058/http://www.newschool.edu/gf/liberal/faculty/jefferson/index.htm Archived Septemba 28, 2006, at the Wayback Machine
  3. Michael Jackson: An American Work in Progress, Presented by Margo Jefferson.OSU. Archived Mei 13, 2008, at the Wayback Machine
  4. 4.0 4.1 [https://www.pulitzer.org/winners/margo-jefferson "Margo Jefferson of The New York Times", Mwaka 1995 alishinda "Pulitzer Prize Winner in Criticism",
  5. The New York Times bio.
  6. Andrew Gans, Andrew (August 24, 2004). "Variety's Isherwood Named New New York Times Critic" Archived Oktoba 17, 2012, at the Wayback Machine Playbill.
  7. "Ken Burns’s Jazz" Archived 22 Mei 2021 at the Wayback Machine., Jazz Center.
  8. Ken Monaco, PBS
  9. Silman, Anna. "She Wrote the Book on Michael Jackson. Now She Wishes It Said More". The Cut. Iliwekwa mnamo 8 Machi 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. "On Michael Jackson". Publishers Weekly. Novemba 28, 2005.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. Lucy Scholes (May 10, 2018), "On Michael Jackson by Margo Jefferson, review: As smart as it is readable", The Independent.
  12. Dwight Garner (September 10, 2015), "Review: ‘Negroland,’ by Margo Jefferson, on Growing Up Black and Privileged", The New York Times.
  13. Margaret Busby (June 19, 2016), "Books: Negroland: A Memoir by Margo Jefferson", The Sunday Times.
  14. Anita Sethi (January 22, 2017), "Negroland by Margo Jefferson review – a brilliant memoir about race in America", The Observer.
  15. "Margo Jefferson's 'Negroland: A Memoir'". The New York Times. Septemba 20, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  16. "Baillie Gifford Non-Fiction Prize nominees announced". BBC News. Oktoba 17, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  17. Maev Kennedy (Oktoba 17, 2016). "First-hand reporting dominates Baillie Gifford shortlist". The Guardian.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  18. Margaret Busby (March 9, 2019), "From Ayòbámi Adébáyò to Zadie Smith: meet the New Daughters of Africa", The Guardian.
  19. Alexandra Alter (Machi 17, 2016). "'The Sellout' Wins National Book Critics Circle's Fiction Award". The New York Times. Iliwekwa mnamo Machi 18, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  20. "Shortlist announced for The Baillie Gifford Prize for Non-Fiction 2016". The Baillie Gifford Prize for Non-Fiction. Oktoba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Margo Jefferson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.