Nenda kwa yaliyomo

Maroua Chebbi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maroua Chebbi (alizaliwa 30 Disemba 1986) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Amecheza kama kiungo wa timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1][2] Chebbi kwasasa ni mchezaji mstaafu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Athlètes". Rouge et Or (kwa Kifaransa). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 30 Agosti 2011. Iliwekwa mnamo 13 Septemba 2021. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Dumas, Guillaume. "Une Tunisienne en Amérique", 8 July 2009. Retrieved on 13 September 2021. (fr) 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maroua Chebbi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.