Nenda kwa yaliyomo

Maximiliane Rall

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maximiliane Rall

Maximiliane Rall (alizaliwa 18 Novemba 1993) Marejeo ni mchezaji wa soka wa nchini Ujerumani na ambaye anacheza kama beki wa klabu ya wanawake ya Bayern München na timu ya taifa ya wanawake ya Ujerumani.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Women Friendlies 2018 » November » Germany – Italy 5:2". WorldFootball.net. 10 Novemba 2018. Iliwekwa mnamo 22 Februari 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maximiliane Rall kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.