Nenda kwa yaliyomo

Mayra Ramírez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramírez mnamo 2023

Mayra Tatiana Ramírez Ramírez (alizaliwa 25 Machi 1999[1]) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Kolombia ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Chelsea F.C. ya Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL)[2] na timu ya taifa ya Kolombia.[3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mayra Ramírez", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-04-11, iliwekwa mnamo 2024-04-20
  2. "Brighton Women 0-3 Chelsea Women highlights". Sky Sports (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-20.
  3. https://www.fifa.com/fifaplus/de/tournaments/womens/womensworldcup/australia-new-zealand2023/scores-fixtures?intcmp=(p_fifaplus)_(d_)_(c_webheader-fwwc2023)_(sc_scoresandfixtures)_(ssc_)_(da_07072023)_(l_de)&country=DE&wtw-filter=ALL&stage=none&team=Kolumbien
  4. "Convocatoria de la Selección Colombia Femenina – Copa Mundial de la FIFA Australia y Nueva Zelanda 2023 - Federación Colombiana de Futbol" (kwa Kihispania). 2023-07-04. Iliwekwa mnamo 2024-04-20.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mayra Ramírez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.