Nenda kwa yaliyomo

Meddie Kaggwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Al-Hajj Meddie Ssozi Kaggwa (15 Aprili 1955 - 20 Novemba 2019) alikuwa wakili wa Uganda, mfanyabiashara, mwanasiasa na mtendaji mkuu, ambaye aliwahi kuwa mwenyekiti wa tume ya haki za kibinadamu ya Uganda, kuanzia mei 2009 hadi kifo chake tarehe novemba 2019.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Ephraim Kasozi (20 Novemba 2019). "UHRC Boss Med Kaggwa Is Dead". Daily Monitor. Kampala. Iliwekwa mnamo 24 Novemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Vision (20 Novemba 2019). "The life and times of Med Kaggwa". New Vision. Kampala. Iliwekwa mnamo 24 Novemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Meddie Kaggwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.