Merzifon
Mandhari
![](http://chped.net/https/upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/4a/Merzifon-June2016_%281%29.jpg/300px-Merzifon-June2016_%281%29.jpg)
Merzifon ni mji na wilaya iliopo katika Mkoa wa Amasya katikati ya Kanda ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Mji unachukua eneo la 970 km² na jumla la wakazi takriban 67,281 ambao wengine 45,613 wanaishi mji mwa Merzifon.
Viugo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
- Merzifon municipality's official website (Kituruki)
- Merzifonlu net (Kituruki)