Nenda kwa yaliyomo

Nat Phillips

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Phillips akiwa na VfB Stuttgart mnamo 2019

Nathaniel Harry Phillips (alizaliwa 21 Machi 1997) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama beki wa kati wa klabu ya Liverpool.

Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Phillips alizaliwa Bolton, huko Manchester.[1]

Maisha katika mpira[hariri | hariri chanzo]

Awali[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 2016, Phillips aliondoka katika akademi ya Bolton Wanderers na kuelekea jiji la Huddersfield kupata mafunzo baada ya kupata ufadhili wa masomo katika Chuo Kikuu cha North Carolina huko Charlotte.[2] Siku mbili kabla ya safari yake ya kuelekea nchini Marekani, alijiunga na akademi ya Liverpool.[3][4]

Liverpool[hariri | hariri chanzo]

Katika msimu wa joto wa 2018 Phillips alianza kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha Liverpool na kuwa mshiriki wa kikosi cha Jürgen Klopp[5] lakini bado alichezea timu ya akiba.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nathaniel Phillips". Liverpool F.C. Iliwekwa mnamo 31 Januari 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Phillips turns down U.S. college scholarship for shot with Liverpool". ESPN. 12 Machi 2017. Iliwekwa mnamo 12 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "How Liverpool youngster came back from the brink to seal dream move to Reds". Liverpool Echo. 12 Machi 2017. Iliwekwa mnamo 12 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Bolton Wanderers Youngster Nat Phillips Joins Liverpool", The Lion Of Vienna Suite, 10 August 2016. 
  5. "Liverpool's 'hidden' pre-season star". Daily Mirror. 4 Agosti 2018. Iliwekwa mnamo 12 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nat Phillips kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.