Nenda kwa yaliyomo

Ole Pohlmann

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ole Pohlmann (alizaliwa 5 Aprili 2001)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama winga katika klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ujerumani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Germany - O. Pohlmann - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-06-28.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ole Pohlmann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.