Nenda kwa yaliyomo

Raynald Alfons Mrope

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Raynald Alfons Mrope (amezaliwa tar. 13 Agosti 1942) ni mbunge wa jimbo la Masasi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Raynald Alfons Mrope". 19 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.