Nenda kwa yaliyomo

Samuel Moroto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Samuel Chumel Moroto (alizaliwa 1960) ni mwanasiasa wa Kenya. Mwakilishi wa eneo bunge la Kapenguria katika bunge la kitaifa la Kenya. Samuel ni mwanachama wa chama cha Kenya African National Union (KANU) akiwa ni mwalimu wa taaluma na mwanaharakati wa vyama vya wafanyakazi. Alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa mbunge mwaka 2002. Samuel anatokea katika jamii ya Wapokot ambayo inakaa zaidi katika Kaunti ya Pokot Magharibi.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Settlement scheme, Chepchoina. "Row rages over land in settlement scheme". The Standard. Kenya. Iliwekwa mnamo 7 Agosti 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "legislator protests eviction of families from scheme". The Standard. Kenya. Iliwekwa mnamo 7 Agosti 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samuel Moroto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.