Nenda kwa yaliyomo

Sauti Sol

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sauti Sol

Maelezo ya awali
Asili yake Nairobi, Kenya
Tovuti sauti-sol.com
Wanachama wa sasa
  • Bien-Aimé Baraza
  • Willis Chimano
  • Savara Mudigi
  • Polycarp Otieno


Sauti Sol ni bendi ya afro-pop ya Kenya iliyoanzishwa mjini Nairobi, [1] Kenya, na waimbaji Bien-Aimé Baraza, Willis Chimano na Savara Mudigi mwaka wa 2005. [2] [3] [4] Hapo awali kilikua kikundi cha cappella, mpiga gitaa Polycarp Otieno alijiunga kabla ya kujiita Sauti Sol. [5]

Washiriki wa bendi[hariri | hariri chanzo]

  • Bien-Aimé Baraza – Mtunzi wa nyimbo, Gitaa, Piano
  • Willis Chimano – Mwimbaji, Mwigizaji, mpiga Keytar
  • Savara Mudigi - Mwimbaji, Mtayarishaji, ngoma, gitaa la Bass
  • Polycarp Otieno – Mpiga Gitaa, Mtayarishaji, Mtunzi, Mpiga Gitaa

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mdundo: Sauti Sol Autobiography, Who is Sauti Sol? and Where is Sauti Sol from
  2. "Sauti Sol". mdundo.com. Iliwekwa mnamo 3 Agosti 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Minda Magero (9 Septemba 2012). "Sauti Sol, Kenyan Afro-fusion Band". Africa on the Blog. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-29. Iliwekwa mnamo 3 Agosti 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Penya Africa | Sauti Sol". Penya Africa. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 30 Januari 2016. Iliwekwa mnamo 23 Januari 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Sauti Sol: Refreshing Kenyan music now available to the world". Rafiki Kenya. 1 Agosti 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Oktoba 2014. Iliwekwa mnamo 3 Agosti 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sauti Sol kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.