Siraju Juma Kaboyonga
Mandhari
Siraju Juma Kaboyonga (amezaliwa 31 Agosti, 1949) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania.
Chanzo[hariri | hariri chanzo]
- Tovuti ya Bunge la Tanzania
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |