Nenda kwa yaliyomo

Small Doctor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Small Doctor

Maelezo ya awali
Amezaliwa Oktoba 19 1996 (1996-10-19) (umri 27)
Asili yake Lagos, Nigeria
Kazi yake Mwimbaji
Miaka ya kazi 2012–mpaka sasa
Studio OIT Dynasty Records

Adekunle Temitope (alizaliwa 19 Oktoba 1996) anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Small Doctor ni msanii wa Muziki wa Afro-pop nchini Nigeria.[1][2] Mnamo mwaka 2018 nyimbo yake ya "Penalty" ilimpa ushindi wa tuzo ya "Best Street Hop".[3][4] Nyimbo zake nyingi hutumia lugha ya kiingereza na kiyoruba.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Small Doctor biography". Legit.ng. Iliwekwa mnamo 12 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Nigerian singer Small Doctor talks about his days as a bus conductor and Okada rider". Legit.ng. 22 Mei 2018. Iliwekwa mnamo 12 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Headies Awards 2018: Full list of categories, winners". Dailypost.ng. 6 Mei 2018. Iliwekwa mnamo 12 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Singer opens up on how his mother inspired his hit single, 'Penalty'". Pulse.ng. 22 Mei 2018. Iliwekwa mnamo 12 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Small Doctor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.