Nenda kwa yaliyomo

Sophia Omotola Omidiji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

{{Infobox Person |jina = Sophia Omotola Omidiji |picha = [[File:Sophia Omotola Omidiji.JPG |maelezo_ya_picha = |tarehe_ya_kuzaliwa = 18 juni 1997 |mahala_pa_kuzaliwa = |tarehe_ya_kufariki = |mahala_alipofia = |majina_mengine = |anafahamika kwa = |kazi_yake = Mchezaji wa soka |nchi = Nigeria }} Sophia Omotola Omidiji (alizaliwa 18 Juni 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambae anacheza katika timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria amesajiliwa katika Klabu ya S.B.V. Excelsior nchini Uholanzi baada ya kutoka katika klabu ya KAA Gent nchini Ubelgiji mwezi Juni 2017.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Sierra Vista Girls Soccer". Nevada Preps. Iliwekwa mnamo Septemba 28, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Sierra Vista Girls Soccer". Nevada Preps. Iliwekwa mnamo Septemba 28, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "GotSoccer Team Detail". Got Soccer. Iliwekwa mnamo Septemba 28, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sophia Omotola Omidiji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.