Nenda kwa yaliyomo

Stella Madzimbamuto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Madzimbamuto kabla ya 1969

Stella Madzimbamuto (13 Aprili 1930 - 30 Juni 2020) alikuwa muuguzi na mlalamikaji wa zimbabwe aliyezaliwa Afrika Kusini.Madzimbamuto alihusika katika kesi ya kihistoria ya Madzimbamuto dhidi ya Lardner-Burke.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stella Madzimbamuto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.