Nenda kwa yaliyomo

Stephen Kebwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stephen Kebwe ( 13 Julai 1957) ni mwanasiasa wa Tanzania mwanachama wa CCM na mbunge wa jimbo la Serengeti tangu 2010.[1] Mnamo 2015-2019 alikuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Member of Parliament CV". Parliament of Tanzania. 2010. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Novemba 2013. Iliwekwa mnamo 31 Oktoba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)