Nenda kwa yaliyomo

Utangazaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Utangazaji (kwa Kiingereza: broadcasting) ni shughuli ya kutangaza au kupeperusha habari, matangazo ya redio au televisheni, au maudhui mengine kupitia njia za mawasiliano kama redio, televisheni, au mtandao.