Nenda kwa yaliyomo

Yasmine Jemai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yasmine Jemai (alizaliwa 12 Juni 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Anacheza kama kiungo wa Klabu ya Al-Suqoor ya nchini Saudia pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Yasmine Jemii Stats". FBref. Iliwekwa mnamo 7 Agosti 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Match Report of Jordan vs Tunisia – 2021-06-10 – FIFA Friendlies – Women". Global Sports Archive. Iliwekwa mnamo 4 Agosti 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Match Report of Jordan vs Tunisia – 2021-06-13 – FIFA Friendlies – Women". Global Sports Archive. Iliwekwa mnamo 4 Agosti 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yasmine Jemai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.