You Can't See Me ni albamu ya kwanza ya mpiganaji miereka wa WWEJohn Cena na binamu yake Tha Trademarc. Wimbo huu ulitolewa mnamo 2005 na ulianza katika nafasi ya 15 katika tamasha za Billboard na #3 katika orodha ya Rap.[1]. Nchini UK, albamu hii ilianza katika nafasi ya 103 katika tamasha za UK Album Charts ya albamu mia nbili za kwanza. ]].[2]. albamu hii iliendelea kuimarika hadi kufikia kiwango cha ‘’Gold’’ kulingana na RIAA.
Inashirikisha uonekanaji maalumu wa rapper kutoka BostonEsoteric katika ngoma moja na Bumpy Knuckles]] katika ngoma zaidi ya moja. Lebo ya nje inatokana na Taji la WWE lililopambwa upya na John Cena, huku jina la albamu likitokana na msemo wake maarufu ‘’You Can’t See Me’’.
"Bad, Bad Man"- kama igizo la utamaduni wa muaka ya 1980 ikijikidha katika Tamthilia ya runinga ya A-Team, akiigiza Gary Coleman na waigizaji wa kujigeuza Michael Jackson, Madonna na wasanii wengine maarufu. Video hii imeshirikishwa katika DVD ya Judgement Day 2005 kutoka WWE.
Cena alinukuliwa akisema katika WWE.com kuwa muziki wake wa kiingilio katika WWE, "Basic Thuganomics", ungeshirikishwa katika albamu.[4]. Hata hivyo ngoma hiyo haikuweza kuingia katika albamu, ingawa ulitolewa baadaye katika albamu ya soundtrack ya WWE Originals mnamo Januari 2004.
"If it All Ended Tomorrow" ilitumiwa katika sehemu ya kumalizia ya Shukrani katika filamu ya John CenaThe Marine.
Ngoma ya Ziada ya "The Underground", iliwekwa katika kurasa wa Tha Trademarc wa Myspace.
Mnamo 14 Oktoba 2008, M.O.P iliwasilisha kesi dhidi ya WWE na John Cena kwa madai kuwa waliiba sehemu za wimbo wake "Ante Up" na kuzitumia katika wimbo wa The Time is Now". M.O.P anataka wimbo huo uharibiwe na alipwe fidia ya $150,000 kwa uharibifu aliofanyiwa. .[5].