Nenda kwa yaliyomo

Zuluboy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mxolisi Mgingqeni Majozi [1] (anajulikana kama "Zuluboy"; alizaliwa 19 Mei 1976) mwigizaji na mwanamuziki wa KwaZulu-Natal, nchini Afrika Kusini. Amefanya kazi na wasanii maarufu wa hip hop wa Afrika Kusini kama vile PRO . [2]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Wimbo wake uliompa mafanikio ulikuwa ni "Nomalanga" kutoka kwenye albamu ya Inqolobane, ilitolewa mwaka 2008. [3] Alishinda tuzo ya rapa bora katika tuzo za Metro FM mwaka 2008. [4]

Katika Tuzo za Muziki za MTV Afrika mwaka 2009 aliteuliwa kama mwanamuziki bora wa Hip Hop. [5][6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Zuluboy biography | TVSA". TVSA.
  2. "Talented Pro Hailed as Legend of SA hip hop". pressreader.com. 22 Januari 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Februari 2020. Iliwekwa mnamo 15 Februari 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "South african hip hop love songs". okayfrica. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Februari 2020. Iliwekwa mnamo 15 Februari 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Zuluboy—Afternoon Express". afternoonexpress.co.za. 15 Februari 2020. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Februari 2020. Iliwekwa mnamo 20 Novemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. ""MTV Africa Music Awards Nominations Unveiled". Billaboard. Agosti 26, 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Zuluboy kicked out of Ukhozi FM". SowetanLIVE (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zuluboy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.